Home of untold facts and news around the globe
Liverpool imekamilisha uhamisho wa kiungo wa Kati wa klabu ya Bayern Munich na Uhispania, Thiago Alcantara kwa kima cha pauni million 30. Mhispaniola Huyu amejiunga na wekundu wa Anfield kwa mkataba wa miaka mitatu.
No comments:
Post a Comment