Saturday, September 19, 2020

Manchester united yamgeukia Alex Telles

 Baada ya kuzikosa huduma za beki wa kushoto wa Real Madrid Sergio Reguilon ,Klabu ya Manchester United Sasa imemgeukia beki wa klabu ya Porto na Brazil, Alex Telles. Beki Huyu huenda akapatikana kwa dili la millions 20 pekee na usimamizi wa The Red Devil's unaona hilo kuwa dili rahisi kwao.


No comments:

Post a Comment